Nguli wa mitindo kutoka Tanzania na Marekani mama Asya Idarous Khamsin akipata picha ya kumbukumbu kwenye maonyesho ya vivazi yaliyoshirikisha wanamitindo mbalimbali kutoka bara la Afrika yaliyofanyika  siku ya Jumamosi Novemba 26, 2016 Boston, Massachusetts nchini Marekani na yeye kuwa mwakilishi pekee aliyepeperusha bendera ya Tanzania mjini hapo.
 Mwanamitindo nguli mama Asya Idarous Khamsini akipata picha ya kumbukumbu.
Mlimbwende wa vivazi vya mwanamitindo nguli Asya Idarous Khamsin akipita mbele ya mashabiki wa mitindo. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...