Bi. Victoria Mwanziva (kulia) akitoa mchango wake katika kozi maalum kwa wanawake  kwa ajili ya kudumisha Amani Barani Afrika.
Baadhi ya washiriki kutoka Nchi mbalimbali Barani Afrika wakiwa na Profesa Juan Sainz Borgo (wa tano kutoka kulia) aliyetoa somo juu ya amani na ambaye ni mmoja wa viongozi wa chuo cha Amani Umoja wa Mataifa
Baadhi ya washiriki wa Mafunzo hayo maalum wakiwa katika picha ya pamoja.
Bi. Victoria Mwanziva alipotembelea Ubalozi wa Tanzania Nchini Ethiopia 
 Bi. Victoria Mwanziva alipotembelea Makao Makuu ya Umoja wa Afrika walipofanya ziara ya mafunzo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kuna haja ya kutoa somo la 'BENDERA YA TAIFA'. Kuanzia nini maana ya bendera, umuhimu wake na kubwa ambalo siku zote tunalirejea na kulirejea tena ni jinsi ya ukamatwaji au ushikwaji wake kwa kuzingatia mpangirilio sahihi wa rangi zake ipi iwe juu na iisheie na ipi, sio almuradi tu tumeisasambuwa ilhali rangize zimeelekea na kukaa ndivyo sivyo, hilo ni kosa kubwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...