Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Bw. Nehemia Mchechu akimshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (East Africa Development Bank) Bi Vivienne Yeda mara baada ya kusaini mkataba wa mkopo wa Dola za Kimarekani Milioni 30 sawa na shilingi Bilioni 65 kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa majengo ya 711 Kawe jijini Dar es salaam, Hafla ya kutiliana saini mkataba huo imefanyika katika makao makuu ya shirika hilo Upanga jijini Dar es salaam kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Sheria NHC Bw.Martin Mdoe.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Bw. Nehemia Mchechu akibadilishana nyaraka na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (East Africa Development Bank) Bi. Vivienne Yeda mara baada ya kusaini mkataba wa mkopo wa Dola za Kimarekani Milioni 30 sawa na shilingi Bilioni 65 kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa majengo ya 711 Kawe jijini Dar es salaam kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Sheria NHC Bw.Martin Mdoe.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Bw. Nehemia Mchechu na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (East Africa Development Bank) Bi Vivienne Yeda wakisaini mkataba wa mkopo wa Dola za Kimarekani Milioni 30 sawa na shilingi Bilioni 65 kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa majengo ya 711 Kawe jijini Dar es salaam kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Sheria NHC Bw.Martin Mdoe.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Bw. Nehemia Mchechu akizungumza wakati wa hafla ya kusaini mkataba na Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (East Africa Development Bank) wenye mkopo wa thamani ya Dola za Kimarekani Milioni 30 sawa na shilingi Bilioni 65 kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa majengo ya mradi wa 711 Kawe jijini Dar es salaam, kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki East Africa Development Bank Bi. Vivienne Yeda na kushoto ni Michael Mwalukasa Mkurugenzi wa Nyumba Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...