Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipozungumza na kuwasalimia Wananchi wakati alipotembelea Ujenzi wa Barabara ya Mgagadu-Kinanzini yenye urefu wa Kilomota 7.6 iliyojengwa Serikali kupitia Idara ya Barabara katika Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara maalum  ya kutembelea barabara hiyo leo, (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe,Mwanajuma Majid Abdalla na Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Mhe,Hamed Suleiman, [Picha na Ikulu.] 07 Nov 2016.

 Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe, Mwanajuma Majid Abdalla akimakaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuwasalimia Wananchi wakati alipotembelea Ujenzi wa Barabara ya Mgagadu-Kinanzini yenye urefu wa Kilomota 7.6 iliyojengwa Serikali kupitia Idara ya Barabara katika Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara maalum  ya kutembelea barabara hiyo leo, [Picha na Ikulu.] 07 Nov 2016.
 Mkurugenzi wa Mfuko wa Barabara katika Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Nd, Ali Twahir akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein wakati alipotembelea Ujenzi wa Barabara ya Mgagadu-Kinanzini yenye urefu wa Kilomota 7.6 katika Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba alipofanya ziara leo ya kutembelea barabara hiyo, [Picha na Ikulu.] 07 Nov 2016.

 Sheha wa Shehia ya Kendwa Wilaya ya Mkoani Bibi Subira Mohamed Ali alipokuwa akizungumza kero za Shehia yake wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipowasalimia Wananchi wakati alipotembelea Ujenzi wa Barabara ya Mgagadu-Kinanzini yenye urefu wa Kilomota 7.6 iliyojengwa Serikali kupitia Idara ya Barabara katika Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba alipofanya ziara leo ya kutembelea barabara hiyo, [Picha na Ikulu.] 07 Nov 2016.
  Baadhi ya Wananchi na Viongozi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiwasalimia Wananchi wakati alipotembelea Ujenzi wa Barabara ya Mgagadu-Kinanzini yenye urefu wa Kilomota 7.6 iliyojengwa Serikali kupitia Idara ya Barabara katika Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba alipofanya ziara leo ya kutembelea barabara hiyo, [Picha na Ikulu.] 07 Nov 2016.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...