Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt
John Pombe Magufuli akitelemka kwenye ndege baada ya kuwasili katika
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam
akitokea Nairobi, Kenya, alikokuwa katika ziara ya Kiserikali ya siku
mbili leo Jumanne Novemba 1, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akilakiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan baada ya kuwasili
katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam akitokea Nairobi, Kenya, alikokuwa katika ziara ya Kiserikali ya
siku mbili leo Jumanne Novemba 1, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Ally Hapi baada ya
kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini
Dar es salaam akitokea Nairobi, Kenya, alikokuwa katika ziara ya
Kiserikali ya siku mbili leo Jumanne Novemba 1, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiongea na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan baada ya kuwasili
katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam akitokea Nairobi, Kenya, alikokuwa katika ziara ya Kiserikali ya
siku mbili leo Jumanne Novemba 1, 2016
namshauri nd. raisi arahisishe , akienda popote kwa ziara akirudi , arudi bila kupokelewa na umati wa viongozi na watu wengine , kupunguza gharama za serikali ktk matumizi yasio na lazima, aje mtu mmoja tu kumpokea badala ya msururu.
ReplyDeleteMakonda utafikiri Secret Service wa Magufuli. Abadilishe miwani lol!
ReplyDelete