Rais wa Rwanda Paul Kagame ameendesha gari kumpeleka mfalme wa Morroco Mohammed VI katika uwanja wa ndege baada ya kukamilisha ziara yake nchini humo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Eh!! Sasa Raisi Kagame si itabidi awe dereva wa kila kiongozi anayetembelea rwanda?

    ReplyDelete
  2. HAYO YALIKUWA NI MAZUNGUMZO YAO YA SIRI, KWANI HUMO NDANI NI WANYEWE WAWILI TU.

    DR. JAMESSY

    ReplyDelete
  3. Kila shetani na mbuyu wake, lakini sidhani kama itabidi awe dereva wa kila kiongozi atakae tembelea Rwanda. Labda ije itokezee tu mithli ya huyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...