Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Sasa afande unachanganya madesa hapo. Kwani mbona katika nchi ya demokrasia maandamano ya halali yapo na polisi wana jukumu ya kuyalinda. hawa wataalamu wapya ndo wanademokrasia wa kesho.

    Nadhani ungewasihi watekeleze wajibu wao wa kitanzania wa kuwa wataalamu wazuri zaidi. Lakini pia nchi yetu bado iko nyumba katika kutoa haki kwa kwa raia na huzuia udai wa haki kwa visingizio vya uzunjifu wa amani wakati amani iliyopo inatosha kupatikana haki zote bila hata maandamano isipokuwa vigogo siyo wawajibikaji, except JPM.

    ReplyDelete
  2. Ni askari ndo hatakiwi kuandamana. Maandamano ya raia ni halali ni kitu kizuri kidemokrasia.

    ReplyDelete
  3. Chuo ambacho kinahitimisha wadahiliwa wote si chuo cha elimu ya kweli labda Harvard. Hivo ku-disco na ku-supp ni lazima.

    kama hawataki ku-supp kwani si waende vyuo vingine hamna supp kama vile UDSM n.k. Huko wanahitimu 100%

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...