Picha ya pamoja baada ya uchaguzi wa Saigon Sports Club leo katika ukumbi wa shule yasekondari ya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam. Kutoka kushoto waliosimama: Mohamed Mmafia, Hamida Iddi Simba, Juma Abedi Spencer, Mahmoud Mbarak Mahfoudh, Mzee Iddi Simba, Salim Matimbwa, Boi Juma Risasi, Mussa Shagow, Muharami Mkamba, Mohamed Tall na alie kaa chini ni mwanachama mwandamizi Nasser. 

Orodha kamili ya viongozi 
wapya wa Saigon Sports Club:
1. Mwenyekiti - Mahmoud Mbarak Mahfoudh.
2. Makamu Mwenkekiti - Juma Abeid Spencer
3. Katibu Mkuu -  Boi Juma Risasi
4. Katibu Msaidizi - Mohamed Msitu
5. Mweka hazina - Mussa Khamis Shagow.
6. Mweka  hazina msaidizi - Abdul Risasi 
Wajumbe 4 wanaume.
*Ali Selemani Kabunju.
*Muharami Mkamba.
*Rashid Sultan.
*Mohamed Bakari Tall.
Wajumbe 2 wanawake 
*Hamida Iddi Simba
*Awena Kitama

 Mwenyekiti - Mahmoud Mbarak Mahfoudh akitoa neno la shukrani baada ya kuhitimishwa kwa uchaguzi mkuu wa Saigon Sports Club

 Walioketi ni wajumbe Mohamed Bakari Tall na Ali Selemani Kabunju.
 Wajumbe Muharami Mkamba, *Rashid Sultan na Hamida Iddi Simba 

katika dua




 Wajumbe wa mkutano wakiitikia dua
Viongozi wapya wa Saigon Sports Club wakiitikia dua baada ya uchaguzi uliokuwa huru na wa haki. Wa pili kulia Mwenyekiti  Mahmoud Mbarak Mahfoudh na kulia ni Makamu Mwenyekiti Juma Abeid Spencer. Kulia mwa Mwenyekiti ni Katibu Boi Juma Risasi, akifuatiwa na Mweka hazina  Mussa Khamis Shagow na Mohamed Mmafia, 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...