SIMU.TV: Spika mstaafu Anne Makinda ameiomba serikali kuharakisha mchakato wa marekebisho ya sheria ya ndoa ya mwaka 1971 ili kuongeza nguvu katika kupambana na ukatili wa kijinsia nchini. https://youtu.be/d4zLkiFJGXs

SIMU.TV: Hospitali ya taifa ya Muhimbili inatarajiwa kuanza kufanya uchunguzi wa homa ya ini na kutoa matibabu kwa ugonjwa huo kuanzia mwezi desemba mwaka huu. https://youtu.be/-asVqQ8p2jk

SIMU.TV: Shirika la mfuko wa hifadhi ya jamii la NSSF limeendelea kuwaondoa wadaiwa sugu walionunua nyumba na kushindwa kulipia katika maeneo ya Mtoni Kijichi. https://youtu.be/9Bhi3U1Z2KM

SIMU.TV: Shirika la maji safi na maji taka jijini Dar es Salaam DAWASCO limeombwa kushughulikia tatizo la maji taka yanayotiririka katika hospitali ya Apolo. https://youtu.be/87PPbETGFD4

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...