Na Sensei Rumadha Fundi
Kwa mtazamo mwingine wa kuelimishana na maadili ya sanaa za Karate toka katika chimbuko lake huko visiwani Okinawa na hatimae jinsi mambo yanavyobadilika hadi bara ya Japan. 
Leo napenda tu kukumbusha maadili na utamaduni tofauti kwa wana-Karate na kunufaishana jinsi ngazi zinapopanda juu na historia yake inazidi kupanda kielimu ya sanaa.
Ni hadi pale utakapotembelea  katika visiwa vya chimbuko la Karate, Okinawa, ndipo utakapokuta ukweli wa mambo mengi usiyoyafahamu kuhusiana na Karate asilia ya Okinawa.


Sensei Rumadha Fundi (kulia)  akifanya marekebisho ya mbinu za kinga kwa  masenpai Abdul-Waheed (kushoto)  na Yusuf Kimvuli hivi karibuni katika viwanja vya basketball vya Gymkhana jijini  Dar es salaam.
Kusoma zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...