Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania TCAA, Hamza Johari (katikati) na Kaimu Mkurugenzi wa idara ya uongozaji ndege na huduma za Ufundi Gideon Msheri (kulia) wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Chama cha wataalam wa utoaji na udhibiti wa taarifa za uongozaji na usalama wa safari za anga Tanzania(TAISOA) Aminiel Ombeni wakati alipokuwa akitoa taarifa za chama hicho kwenye ufunguzi wa mkutano wao mkuu 19 wa mwaka uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania TCAA, Hamza Johari, akisisitiza jambo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 19 wa mwaka wa wanachama wa Chama cha wataalam wa utoaji na udhibiti wa taarifa za uongozaji na usalama wa safari za anga Tanzania(TAISOA) uliofanyika jijini Dar es Salaam.Kutoka kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa idara ya uongozaji ndege na huduma za Ufundi ,Gideon Msheri , Mwenyekiti wa Chama cha wataalam wa utoaji na udhibiti wa taarifa za uongozaji na usalama wa safari za anaga Tanzania,(TAISOA) Aminiel Ombeni na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha taarifa za uongozaji na Usalama wa safari za anga, Obeid Dabana.
Wajumbe wa Chama cha wataalam wa utoaji na udhibiti wa taarifa za uongozaji na usalama wa safari za anaga Tanzania,(TAISOA) wakiwa kwenye mkutano wao mkuu wa mwaka wa 19 uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...