Sehemu ya Mabango ya Matangazo yaliyo wekewa alama ya X yaliyopo pembezoni mwa barabara ya Mbeya kuelekea Dar es salaam katika Eneo la Mafinga Mjini.
Baadhi ya madereva wa Taxi wafanyao biashara zao za usafirishaji Abiria kutokea Standi kuu ya Mafinga kuwapeleka waendapo wakiwa katika Eneo lao la Biashara Upande Wa kulia Kutokea Mbeya Kuelekea Dar es Salaam.
Moja ya kikwangua Anga Kinacho pendezesha Mji wa Mafinga Kikimeremeta.
Maafisa Usafirishaji Wakiwa Katika Eneo lao la Kujidai Pia Mjini Mafinga.
PICHA NA MR.PENGO WA MMG.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...