Mkuu wa Utafiti na Maendeleo toka Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Bi. Asha Myanza (kushoto) akifafanua  jambo wakati wa makabidhiano ya kiwanja namba 20 toka Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) kwenda kwa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Mwanasheria wa MKURABITA Bi. Jane Kissanga.
  Mratibu wa kwa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) Bi. Seraphia Mgembe akisisitiza jambo kwa wawakilishi wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) na Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) wakati wa makabidhiano ya kiwanja namba 20 toka Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) kwenda kwa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
 Mkuu wa Utafiti na Maendeleo toka Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Bi. Asha Myanza (kushoto) akijadiliana jambo na Mwanasheria wa MKURABITA Bi. Jane Kissanga wakati wa makabidhiano ya kiwanja namba 20 toka Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) kwenda kwa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Mwanasheria wa MKURABITA Bi. Jane Kissanga
 Jengo ambalo lipo katika kiwanja namba 20 lililokabidhiwa kwa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) toka Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) chini ya usimamizi wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) mapema hii leo jijini Dar es Salaaam.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...