Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Dodoma Mhe. James Karayemaha (kusoto) ambaye ni Mwenyekiti wa Timu iliyoundwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana kwa maelekezo ya Waziri Mkuu kwa lengo la kukusanya Malalamiko, kero na hoja za wafungwa na Mahabusu kwenye magereza mjini Dodoma akimkabidhi Mkuu wa Mkoa Dodoma taarifa ya kazi hiyo mara baada ya kuikamilisha mapema leo.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana (wa sita kutoka kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa timu ya kukusanya Malalamiko, kero na hoja za wafungwa na Mahabusu kwenye magereza mjini Dodoma, aliyoiunda kwa maelekezo ya Waziri Mkuu wakati timu hiyo ikimkabidhi taarifa ya kazi hiyo mapema leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...