Hiki ni moja ya kituko cha Marafiki hawa waliokuwa wakipigana Picha mara baada ya mtanange wa Yanga na Prison kumalizika, ambapo Wadau hawa walijipatia fursa adhimu ya kupata Taswira mwanana kabisa golini ndani ya Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
Kumbukumbu zikiendelea kuchukuliwa kwa Mapozi mbali mbali ya Bi Shosti aliyo kuwa akipewa na Mpiga picha alie pigwa picha akimpiga picha Rafiki yake.
Hiki ni Kituko cha aina yake ambapo wachezaji waliamua kubadilishana Jezi Uwanjani wakati mechi ikiendelea, ikiwa ni mechi ya utangulizi dhidi ya Prison "B" kabla ya Mtanange wa Yanga na Prison Kuanza..
"Chukuwa yangu Nipe yako"

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...