Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na
Utawala Bora Angella Kairuki akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya
uchunguzi Afisa Uchunguzi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa umma Edson
Kamugisha. Hafla hiyo ilifanyika katika Chuo cha maafisa wa Jeshi la Polisi
Kidatu, Mkoani Morogoro jana.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala
Bora Angella Kairuki akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya uchunguzi Katibu
Msaidizi wa Sekretarieti ya Maadili ya
Viongozi wa umma Evodia Pangani. Hafla hiyo ilifanyika katika Chuo cha maafisa
wa Jeshi la Polisi Kidatu, Mkoani Morogoro jana.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala
Bora Angella Kairuki akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya uchunguzi Katibu
Msaidizi Kanda ya Mashariki wa
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa umma Eritrudi Cyliacus Ishengoma. Hafla
hiyo ilifanyika katika Chuo cha maafisa wa Jeshi la Polisi Kidatu, Mkoani
Morogoro jana.

naona wahitimu majina yamefanana au macho yangu tu niwekeeni sawa wadau na kaka mithupu
ReplyDelete