Waziri wa Nchi Ofisi  ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira Mh. January Makamba amewataka Wananchi wa Zanzibar  kuulinda na kuuheshimu Muungano pamoja na mapinduzi tukufu ya Zanzibar. Ameyasema hayo alipokua ziarani Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Aliongeza kuwa anaipongeza Serikali ya Mkoa kwa juhudi wanazozifanya kuhakikisha  wanasimamia usalama kwa raia wote . Akiwasilisha  taarifa kwa Mh Waziri, Katibu tawala wa Mkoa wa Kasazini Pemba Mohamed Ali alitaja changamoto zinazowakabili ni uchakavu wa jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa  hivyo kuomba Waziri awsaidie.
 Waziri wa Nchi Ofisi  ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira Mh. January Makamba yupo katika ziara mkoani Kaskazini Pemba pamoja na Unguja.
 Waziri wa Nchi Ofisi  ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akiongea  mara baada ya kupokea taarifa  ya Mkoa wa  Kaskazini Pemba alipokua ziarani Mkoani humo.
 Katibu Tawala wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Yusuf Mohamed Ali akisoma taarifa ya Mkoa wakati akiiwasilisha kwa Waziri wa Nchi Ofisi  ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira Mh. January Makamba alipotembelea mkoa huo huko Pemba
 Waziri wa Nchi Ofisi  ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira Mh. January Makamba  (aliyenyoosha mkono)  akiwa pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Wete- Pemba Bwana Rashid  Hadid Rashid wakati alipokua ziarani mkoani Kasakzini Pemba.


KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...