Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela wakati alipomtembelea, nyumbani kwake mjini Dodoma Novemba 2, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge wa Nkansi Kaskazini, Ally Kessy wa Nkansi (katikati) na Livingstone Lusinde wa Mtera kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Bovemba 2, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wapiga kura wake kutoka jimbo la Ruangwa waliomtembelea bungeni mjini Dodoma Novemba 3, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...