Mtaalamu wa Usalama wa Mtandao nchini Bw. Yusuph Kileo akipokea tuzo kama Mtaalamu wa Usalama Mtandao wa Mwaka (Cybersecurity expert of the year) ikiwa ni katika kutambua mchango wake katika mataifa ya Afrika. Mgeni rasmi kwenye hafla hiyo iliyofanyika jana jijini Nairobi alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya mipango na Majimbo (Ugatuzi) wa Kenya Mhe. Saitoti Torome. Jumla tuzo 31 category tofauti zilitotela.
Mtaalamu wa Usalama Mtandao nchini Bw. Yusuph Kileo akipokea tuzo kama Mtaalamu wa Usalama Mtandao wa Mwaka (Cybersecurity expert of the year) akishukuru baada ya kukabodhiwa tuzo hiyo.
Mtaalamu wa Usalama Mtandao nchini Bw. Yusuph Kileo baada ya kupokea tuzo kama Mtaalamu wa Usalama Mtandao wa Mwaka (Cybersecurity expert of the year).
Globu ya Jamii inampongeza Mzalendo huyu ambaye amekuwa akihaha usiku na mchana kuhakikisha ujumbe wa umuhimu wa kuwekeza katika mapambano uhalifu mtandao na usalama mtandao katika kila nyanja.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...