KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, itakuwa mkoani Kigoma wikiendi hii Jumamosi (Desemba 3, 2016) kusaka vipaji vya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (U-17).
Kusoma habari kamili, fungua link hii: http://azamfc.co.tz/content/ azam-fc-kusaka-vijana-u-17- kigoma-j%E2%80%99mosi-hii
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...