Picha hizi zimepigwa maeneo ya katikati ya jiji la Dar es salaam, Je waweza tambua mpigaji alikuwa wapi??

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Zimepigwa kutoka jengo la city plaza lenye ghorofa 21 ambapo ipo Hotel ya GOLDEN TULIP DOWNTOWN.

    ReplyDelete
  2. imepigwa toka NSSF/Mkapa Tower

    ReplyDelete
  3. Zimepiga kutoka jengo la harbour view mtaa wa Samora.

    ReplyDelete
  4. zimepigwa kwa kutumia "drone."

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...