Gari ndogo ikivuka katika Barabara ya Mabasi ya Mwendo kasi, eneo la Magomeni Makuti (Moroco hotel zamani), Jijini Dar es salaam. Pamojana kwamba Matumizi ya barabara yamebadirika kwa maeneo mengi hapa mjini, lakini gari hii imeendelea kuutumia utaratibu ule ule wa zamani. sasa sijui ni makusudi au ndio kutokujua kama kuna mabadiriko hayo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. HAYO NI MAKUSUDI

    ReplyDelete
  2. Magomeni Mikumi hamna kituo cha Mwendo Kasi. Hapo itakuwa ni Magomeni Makuti, njia panda ya kuelekea Tandale na Kinondoni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...