Sanamu ya Askari kwenye mzungukoa wa mitaa ya Samora na Azikiwe jijini Dar es salaam ikiwa imezungushiwa mapambo siku nane  kabla ya kufikia kilele cha Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara itakayofanyika tarehe 09/12/2016 katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Kauli mbiu ya maadhimisho hayo mwaka huu ni; “Tuunge Mkono Jitihada za Kupinga Rushwa, Ufisadi na Kuimarisha Uchumi wa Viwanda kwa Maendeleo Yetu”. Picha na Frank Shija, Maelezo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...