Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia wananchi waliohudhuria sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama wakati wimbo wa Taifa ulipokuwa ukipigwa uwanjani hapo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride katika sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Vikosi mbalimbali vya Majeshi vikipita mbele ya mgeni Rasmi kwa mwendo wa pole na Haraka katika sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli (katikati) pamoja na Viongozi mbali mbali wa Kitaifa wakisimama kupokea salama ya heshma ya Vikosi vya Ulinzi na Usalama  kwa Gwaride la mwendo wa haraka katika sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika leo katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam

 Kikosi cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ kikipita katika Jukwaa kubwa la Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam katika sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika leo kiowanjani hapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli
 Kikosi cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ Makomando maalum wanamaji (Marine Special Forces) kikipita katika Jukwaa kubwa la Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam,kwa mwendo wa kurukaruka  katika sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika leo kiwanjani hapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli
 Vijana wa Vikosi mbali mbali vya majeshi ya Ulinzi wakiimba kwaya ya wimbo maalum katika sherehe za sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika leo katika uwanja wa Uhuru Jijini Dae es Salaam, mgeni rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli alipokuwa akizungumza na Viongozi,Wananchi na wageni mbali mbali katika sherehe za sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika leo katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli alipokuwa akiagana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein baada ya kuzungumza na Viongozi,Wananchi na wageni mbali mbali katika sherehe za sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika leo katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...