SIMU.TV: Makamu wa Rais Samia Suluhu amesema serikali iko katika jitihada za kuandaa mazingira mazuri ya kurasimisha sekta zisizo rasmi; https://youtu.be/F8emXyvT3g4

SIMU.TV: Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imesema itaboresha mitaala ya shule za sekondari na vyuo vya ujasiriamali; https://youtu.be/miXoqtluqXE

SIMU.TV: Waziri mkuu Kassim Majaliwa apiga marufuku kwa halmshauri zote nchini kununua magari ya kubeba taka nje ya nchi; https://youtu.be/WhLHo-057Qk

SIMU.TV: Jeshi la polisi mkoani mwanza kwa kushirikiana na askari mgambo limefanikiwa kuwaondoa machinga katikati ya jiji hilo; https://youtu.be/DHiUoXXzXlk

Simu.Tv: Serikali imekiri kuwepo kwa changamoto za maeneo ya kufanyia biashara na kuahidi kutatua changamoto hizo haraka iwezekanavyo: https://youtu.be/01pwlOgZ2tM

Simu.Tv; Jeshi la polisi Mkoani Mwanza  limetakiwa kuimarisha usalama wa raia na mali zao ili kuepuka  vitendo vya uhalifu: https://youtu.be/IBoD8rryNuM 

SIMU.TV:Timu ya mpira wa kikapu ya walemavu ya Tanzania yaadhimisha siku ya walemavu duniani kwa kucheza na timu ya Kenya; https://youtu.be/XYtFcsZAnZI

SIMU.TV: Timu ya ngumi ya JKT inayojiandaa na mashindano ya mabingwa kwa nchi za Afrika Mashariki inaendelea na mazoezi; https://youtu.be/zJereUbKlgE
Simu.Tv: Serikali imezipongeza asasi za kifedha nchini zinazojitokeza kudhamini michezo huku ikizitaka asasi hizo kuzisaidia timu za wanawake: https://youtu.be/1U39sHcjA2k

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...