Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Willam Lukuvi akiwa katika ziara ya Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi Mkoani Kigoma amerudisha ardhi iliyokuwa ikimilikiwa na Mzee Shaban Hussein mkazi wa Machinjioni Kigoma Mjini, ambaye alinyng’anywa na Raia wa Kongo Bwana Mwenge Muyombi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Nimeipenda approach ya Lukuvi ,anatatua huku anafundisha na kuelekeza nini cha kufanya ,Viongozi wanatakiwa wawe namna hiii!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...