Naibu Waziri wa Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akizungumza na Kamishna wa
Kupambana na Dawa za Kulevya, Rogers Sianga, wakati Kamishna huyo
alipomtembelea ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo, kwa lengo la kujadili
masuala mbalimbali ya kupambana na dawa za kulenya nchini. Picha zote na Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi.
Kamishna wa Kupambana
na Dawa za Kulevya, Rogers Sianga (kushoto), akimfafanulia jambo Naibu Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni wakati Kamishna huyo
alipomtembelea Masauni ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo, kwa lengo la
kujadili masuala mbalimbali ya kupambana na dawa za kulenya nchini. Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu Waziri wa Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akimkaribisha Kamishna wa
Kupambana na Dawa za Kulevya, Rogers Sianga, ofisini kwake jijini Dar es Salaam
leo, kwa ajili ya kufanya mazungumzo kuhusu kupambana na dawa za kulevya
nchini. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...