Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba akitoa mada katika mdahalo ulioandaliwa na Taasisi inayojishughulisha na Utafiti wa Sayansi ya Jamii  (REPOA) juu ya mapinduzi ya Viwanda. Kushoto ni  Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara , Profesa Adolf Mkenda
 Mzee Butiku akiwa na wadau wakifatilia mjadala huo  wa aina yake
 Mkurugenzi mkuu wa Benki ya CRDB nchini  Dkt. Charles Kimei akizungumza namna mabenki yanavyoweza kutoa mchango mkubwa katika mapinduzi ya Viwanda nchini wakati wa mjadala ulioandaliwa na REPOA juu ya nini kifanyike kuelekea mapinduzi ya Viwanda kwa kushirikisha Tasisi
 Waziri wa Fedha Mstaafu wa awamu ya nne Mhe. Basil Mramba akizungumzia juu ya nini kifanyike katika serikali kuu hili tuweze kufanikiwa katika maendeleo ya Viwanda
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Profesa Adolf Mkenda akiwa na baadhi ya washiriki mara baada ya kumalizika kwa mdahalo huo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...