Naibu Waziri wa ArdhiNyumba na Maendeleo ya Makazi Mh Angelina Mabulla Akifafanua Namna Fomu ya Umiliki Ardhi inavyo tumika ili kupata taarifa za awali za Mwananchi anaye andaliwa Hati ya Kumiliki Ardhi mbele ya Wajumbe wa kamati ya Bunge Ardhi Maliasili na Mazingira na Wananchikatika kijiji cha Mikoleko Wilaya ya Kilombero- Morogoro
Mratibu wa Mradi wa Kuwezesha Umilikishaji wa Ardhi Godfrey Machabe akisoma Ripoti ya maendeleo ya mradi huo mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Mazingira wakati wa ukaguzi wa maendeleo ya Mradi huo Wilayani Kilombero-Morogoro
Mwenyekiti wa kijiji cha MikolekoWilaya ya kilomberoakielezea ushiriki wa Wanakijiji katika zoezi la kumilikisha ardhi ndani ya kijiji hicho Mbele ya Wajumbe wa kamati ya Bunge Ardhi, Maliasili na Mazingira.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...