Maonyesho ya Kimataifa ya Ushirika wa akinamama wajasiliamali wa Tanzania (TASWE) yameanza kwa kishindo leo katika ukumbi wa Cardinal Rugambwa Oysterbay. Akizungumza kwa juu ya maonyesho hayo, mwenyekiti na mwanzilishi wa Taswe Saccos, Bi Anna Matinde alisema "Maonyesho haya yamekuwa na hamasa kubwa wafanyabiashara na bidhaa kutoka Comorro, Afrika Mashariki na mikoa mbalimbali nchi zinapatikana hapa kwa wingi na kwa bei nafuu. 
"Tunawakaribisha wote mje mkutane na wafanyabiashara hawa pamoja na wadau wetu na kujionea bidhaa mbalimbali. Maonyesho yanaaza saa 2 asubuhi mpaka saa 2 usiku", . Aliongeza Anna Matinde.


Mfanyabiashara kutoka Comorro, Siti Marahaba akiuza baadhi ya bidhaa zake katika maonyesho ya kimataifa ya Taswe
 Bi Sarah Abiudi akionyesha bidhaa za kiafrika zinazopatika katika maonyesho ya Taswe.
 Bi. Arafa Awadhi Mfanyabiasha mwanachama wa Taswe (kulia) akitoa maelezo juu ya bidhaa zake na mmoja ya mteja aliyetembelea maonyesho hayo. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...