Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akizungumza na Balozi wa China hapa nchini, Dk. Lu Youqing, nyumbani kwa Balozi huyo, jijini Dar es Salaam Jumapili Machi 19, 2017. Mazungumzo hayo yalihusu zaidi kuhusu juhudi za kuongeza ushirikiano baina na CCM na Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) katika nyanja mbalimbali ikiwemo uhusiano wa kidundugu uliopo kwa siku nyingi baina ya vyama hivyo na uchumi. Kushoto ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga.
 Baadhi ya viongozi aliofuatana nao, Naibu Katibu Mkuu wa CCM wakifuatilia mazungumzo hayo. Kulia ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga 
 Balozi huyo wa China hapa nchini akimfafanulia jambo Mpogolo wakati wa mazungumzo hayo
  Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akiwa na Balozi wa China hapa nchini, Dk. Lu Youqing, nyumbani kwa Balozi huyo, baada ya mazungumzo yao jijini Dar es Salaam Machi 19, 2017. Kulia ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga
  Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akimshukuru Balozi wa China hapa nchini, Dk. Lu Youqing, baada ya mazungumzo yao, nyumbani kwa Balozi huyo, jijini Dar es Salaam Machi 19, 2017. (Picha zote na Bashir Nkoromo).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...