Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe,Vuai Mwinyi Mohamed wakati alipofika kuuzindua wasili Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge Kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo, uliojengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai,chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuuzindua Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo ambao umejengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai,chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi(katikati).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo ambao umejengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai,chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi.
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Serikali na na Waislamu wa Dini ya Kiislamu wakiwa katika Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja,katika sherehe za Uzinduzi wa msikiti huo uliozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) ambapo umejengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai,chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi (wa tatu kushoto).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...