Wajumbe wa Kikosi cha Kitaifa cha kunusuru ikolojia ya Mto
Ruaha (kikundi namba 2) wakiwa katika picha ya pamoja wakati wakisubiri kupanda
boti ya upepo ili kutembelea eneo la bonde la Ihefu lililoko Mbalari- Mkoani
Mbeya kugagua ikolojia ya Bonde hilo.
Wajumbe wa Kikosi kazi wakiwa ndani ya boti katikakti ya
bonde la Ihefu wakiakagua ikolojia ya bonde hilo. Kuanzia kulia ni Mkurugenzi
Tume ya Umwagiliaji Injinia Seth Lusweme, Mkurugenzi Mazingira Ofisi ya Makamu
wa Rais Richard Muyungi na Mkurugenzi wa Bonde la Rufiji Idris Msuya.
Afisa Mkuu toka TANAPA Kanda ya Arusha Vitalis Uruki
akiongea na Wanahabari mara baada ya ziara ya kikosi kazi katika bonde la Ihefu
katika Wilaya ya Mbalari Mkoani Mbeya.
Picha ikionyesha hali ya ikolojia katika bonde la Ihefu
inavyoonekana kwa sasa
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...