Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (kushoto), akikabidhi gari la wagonjwa kwa Mwenyekiti wa Kata ya Nzega ndogo, William Jumanga kwa ajili ya Zahanati ya Zogolo iliyopo wilayani Nzega mkoani Tabora juzi.
Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), akizungumza na mgonjwa Agnes Nobert aliyekuwa amelazwa katika Zanati ya Zogolo baada ya kutembelea juzi wilayani Nzega mkoani Tabora juzi.
Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Kata ya Nzega ngodo kabla ya kuwakabidhi gari la wagonjwa juzi
Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe, akionyesha gari la wagonjwa alilolikabidhi kwa viongozi wa Kata ya Nzega ndogo kwa ajili ya Zahanati ya Zogolo iliyopo wilayani Nzega mkoani Tabora juzi. 

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...