Baloon ikijazwa hewa kabla ya kuanza safari ya Utalii.
Rubani wa Baloon Masoud Mohamed akiruhusu gesi kwa ajili ya kuchoma Oxygen wakati wakiandaa Baloon kwa ajili ya kuanza safari ya utalii katika Hifadhi ya Taifa ya Seengeti.
Baadhi ya Wageni wakifurahia jambo na Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti,William Mwakilema walipokuwa wamepanda Baloon kuzunguka katika maeneo mbalimbali ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Rubani wa Baloon Masoud Mohamed akiongoza chombo hicho kupita maeneo mbalimbali ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.

Baloon likiwa angani ambapo watalii wamekuwa akifanya utalii huu wa aina yake unaofanyika katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...