SIMU.TV: Tazama uchambuzi kidogo kutoka studio namba 2 kuhusu sakata la mchanga wenye madini na ripoti iliyokabidhiwa leo kwa mheshimiwa Rais Magufuli; https://youtu.be/pV0_GElRr0s
SIMU.TV: Baadhi ya wachimbaji wadogo mkoani Shinyanga wamepongeza uamuzi wa Rais Magufuli kupiga marufuku usafirishaji nje ya nchi mchanga wenye madini; https://youtu.be/JgaN2fYmIZg
SIMU.TV: Baadhi ya wananchi mkoani Iringa wamesema upotevu wa mapato hususani kwenye sekta ya madini unasababishwa na sheria zilizopitwa na wakati; https://youtu.be/m3XB0Xee66A
SIMU.TV: Baadhi ya wabunge mkoani Dodoma wamepongeza uamuzi wa Rais Magufuli kusimamia kikamilifu upotevu wa rasilimali za watanzania; https://youtu.be/oKIMnEwD90Q
SIMU.TV: Wananchi mkoani Mbeya wameitaka serikali kuangalia upya mikataba ya madini ili kuona kama ina manufaa kwa watanzania; https://youtu.be/lQO4sVP6K1M
SIMU.TV: Benki ya rasilimali nchini TIB kitengo cha biashara imeanza kutoa huduma kwa masaa 24 katika tawi lililoko kwenye bandari ya Dar Es salaam; https://youtu.be/4uYXWOlKbhE
SIMU.TV: Benki ya NMB imeanzisha akaunti maalumu ya biashara ndogo kwa ajili ya kutoa mikopo kwa wajasiriamali wanaotaka kuanzisha viwanda; https://youtu.be/jKdF4Gj6HxE
SIMU.TV: Mamlaka ya mafunzo na ufundi stadi VETA na SIDO wamekubaliana kushirikiana kutoa mafunzo kwa wajasiriamali ili kuwaongezea uwezo; https://youtu.be/D83LkpFaDZM
SIMU.TV: Chama kikuu cha ushirika wilayani Masasi mkoani Mtwara kimefanikiwa kukusanya shilingi bilioni 3.3 za wakulima wa Korosho; https://youtu.be/uTLorTble8Q
SIMU.TV: Waziri wa habari na michezo Dkt Mwakyembe amesema serikali itaendelea kuunga mkono jitihada za kukuza soka la vijana; https://youtu.be/dcph22V3PZY
SIMU.TV: Kampuni ya SportPesa imezindua mashindano rasmi yatakayoshirikisha timu 8 zinazodhaminiwa na kampuni hiyo kutoka Tanzania na Kenya; https://youtu.be/dejhhV-IQNc
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...