Mkuu wa Wilaya ya Babati, Raymond Mushi akizungumza na wakulima na
watafiti wa Mradi wa utafiti mbegu bora chotara za mahindi
zinazostahimili ukame na magonjwa (WEMA), katika maadhimisho ya Siku ya
Wakulima Katika Mtaa wa Maisala Kata ya Babati Mjini, wilayani Babati.
Mratibu wa Mradi wa WEMA, na Mtafiti kutoka Kituo cha Utafiti Ilonga,
Dk. Justin Ringo (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa mgeni rasmi, Mkuu wa
Wilaya ya Babati, Raymond Mushi (kulia) juu ya shamba la majaribio ya
mbegu chotara za mahindi zinazostahimili magonjwa na ukame (WEMA),
katika moja ya shamba la utafiti shirikishi lililopo Mtaa wa Maisala
Kata ya Babati Mjini, wilayani Babati walipotembelea.
Mtafiti wa Mradi wa WEMA, Ismail Ngolinda (kulia) akimtembeza mgeni
rasmi Mkuu wa Wilaya ya Babati, Raymond Mushi (kushoto) ndani ya shamba
la majaribio katika moja ya shamba la utafiti shirikishi lililopo Mtaa
wa Maisala Kata ya Babati Mjini, wilayani Babati walipotembelea.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...