Mwenyekiti wa majimaji ambaye amechaguliwa hivi karibu bwana steven Ngonyani amesema msimu huu mpaya wa ligi kuu TANZANIA bara lazima klabu hiyo ichukue ubigwa.NGONYANI AMESEMA jana mara baada ya kuchaguliwa kwa asilimia 93.5 na anachukua nafasi hiyo iliyoachwa wazi na mtangulizi wake HAMPHREY MILANZI aliyemaliza muda wake huku wajumbe 6 wamechaguliwa isipokuwa makamu mwenyekiti ameshindwa kupatikana sababu ya kukosa vigezo. 
KWA HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE.  

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...