Mkurugenzi Mtendaji Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Bibi Devota Mdachi na Meneja Mkazi Shirika la Ndege la Ethiopian Airlines, Bwana Dahlak Teferi wakibadilishana hati za makubaliano ya kufanikisha maonyesho ya utalii ‘Swahili International Tourism Expo,’ jijini Dar es Salaam jana, maonyesho hayo yatakayofanyika Oktoba 13-15 mwaka huu.
Mkurugenzi mtendaji wa Bodi ya utalii Bi Devota Mdachi akizungumza katika hafla ya kutia saini ushirikiano wa kufanikisha maonyesho ya utalii ‘Swahili International Tourism Expo,’ jijini Dar es Salaam jana, maonyesho hayo yatakayofanyika Oktoba 13-15 mwaka huu, (kushoto) Mhandisi Ladislaus Matindi Mkurugenzi mtendaji Air Tanzania wapili( kulia) Bwana Dahlak Teferi Meneja wa Ethiopian Airlines, (kulia) Lima Silva Mwakilishi wa mauzo mwandamizi Shirika la ndege la Ethiopia, Ethiopian Airlines.
Mkurugenzi mtendaji wa Bodi ya Utalii Tanzania Bi Devotha
Mdachi akiwa kwenye picha ya pamoja na Wadau wa Utalii mda mfupi
baada ya hafla ya kutia saini ushirikiano wa kufanikisha maonyesho
ya utalii ‘Swahili International Tourism Expo’ iliyofanyika Jijini
Dar es Salaam jana’ wa tatu (kulia) Mhandisi Ladislaus Matindi
Mkurugenzi Mtendaji Air Tanzania wa pili (kushoto) Dahlak Teferi
Meneja wa Shirika la Ndege la Ethiopia, Ethiopian Airlines.
Ends
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...