Baadhi ya Wananchi  na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Kinuni na Magogoni wakiwa katika shamra shamra wakati  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani ) alipofika kutembelea Ujenzi wa barabara ya Kwamata -Kinuni mpaka Kijito upele leo inayojengwa na Mkandarasi wa kampuni ya Mecco,Rais akiwa katika ziara yake ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi"B" katika Mkoa wa Mjini Magharibi.
 Baadhi ya Wananchi  wa Kinuni na Magogoni wakiwa katika shamra shamra wakati  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani ) alipofika kutembelea Ujenzi wa barabara ya Kwamata -Kinuni mpaka Kijito upele leo inayojengwa na Mkandarasi wa kampuni ya Mecco,Rais akiwa katika ziara yake ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi"B" katika Mkoa wa Mjini Magharibi.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa,Idara Maalum za SMZ Nd,Radhia Rashid Haroub alipokuwa akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani ) alipofika kutembelea Ujenzi wa barabara ya Kwamata -Kinuni mpaka Kijito upele leo inayojengwa na Mkandarasi wa kampuni ya Mecco,Rais akiwa katika ziara yake ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi"B" katika Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na  Wananchi  na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Kinuni na Magogoni leo alipofanya ziara ya kutembelea Ujenzi wa barabara ya Kwamata -Kinuni mpaka Kijito upele  inayojengwa na Mkandarasi wa kampuni ya Mecco, katika ziara yake ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi"B" katika Mkoa wa Mjini Magharibi,(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZMhe.Haji Omar Kheir na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud,
[Picha na Ikulu.] 21/08/2017.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...