Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani  Kikwete, akikabidhi tuzo ya mchezaji bora kwa kocha wa timu ya Misosi Fc yenye maskani  yake Manzese.
 Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dodoma (DOREFA) Mulamu Nghambi akikabidhi zawadi kwa refa  bora wa michuano ya Ndondo Cup.
 Mpiga picha bora wa Michuano ya Ndondo Cup Bi. Rachel Palangyo wa Daily News na habari Leo akiwa na Tunzo yake mara baadaya kukabidhiwa.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...