Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitangaza mabadiliko madogo katika baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 7, 2017. Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi pamoja na maafisa waandamizi wa Ofisi ya Rais walikuwapo. Picha na Ikulu



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kwa kweli nakupongeza Mh.Raisi huyu waziri wa maliasili katuingiza kwenye umasikini mkubwa kabisa.si siri ameiingiza serikali kwenye hasara sisi wafanya biashara wa viumbe hai uamuzi wake wa kufunga hii biashara bila kujali watu hawa wamelipia vibali,wana leseni na wanaviumbe hai,na wana mikopo katika mabenki.itakumbukwa kuwa serikali ya awamu ya nne wabunge walisema huyu ni waziri mzigo.ni bora aondoke waziri gani huwezi kuwashirikisha watalaamu wako unaamua wewe mwenyewe unavyotaka.mimi napongeza kabisa uamuzi huu wa raisi kama wabunge katika kipindi cha bajeti ya 2017 walivyolalamika kuwa kufungwa kwa biashara hii kuna harufu ya rushwa waziri alikuwaa anamlinda mgeni kuliko wazawa.waziri mpaya nakuomba ukutane na wafanya biashara hawa uwasikilize si kukimbilia kwenye maamuzi bila kuwasirikisha,tumenyanyasika sana kwa kuafuatilia tatizo hili ofisi ya waziri mkuu,ofisi ya rais na bunge lakini hadi hii leo hakuna kitu zaidi ya bunge kusema kuwa tulipwe fidia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...