Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Magazeti ya
Serikali (TSN) Bw. HAB Mkwizu (kulia) akizungumza na Naibu Waziri Wizara ya
Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (katikati) alipofanya
ziara katika Kampuni hiyo jana Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi
Mtendaji TSN Dkt. Jim Yonazi
Mhariri wa gazeti la Daily News Bw. Leonard
Mwakalebela (kushoto) akimwelezea Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Juliana Shonza (kulia) namna habari zinavopitiwa na kupangwa
katika gazeti hilo alipofanya ziara katika kampuni ya TSN jana Jijini Dar es
Salaam
Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na
Michezo Mhe. Juliana Shonza (watano kushoto) katika picha ya pamoja na
menejimenti ya Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) alipofanya ziara katika
kampuni hiyo na kuangali shughuli zinazofanywa na kampuni hiyo jana Jijini Dar
es Salaam
Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na
Michezo Mhe. Juliana Shonza (katikati) akimsikiliza mkuu wa TBC International
Bw. Deogratius Salufu (kulia) alipotembela studio za redio hiyo jana wakati wa
ziara yake katika Shirika la Utangazani la Taifa (TBC) Jijini Dar es Salaam
Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na
Michezo Mhe. Juliana Shonza (kulia) akiwa katika meza ya kusomea taarifa ya
habari ya Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) jana wakati wa ziara yake katika
TBC Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu Shirika la Utangazaji la
Taifa (TBC) Dkt. Ayoub Rioba
Naibu Waziri Wizara
ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (watatu kushoto)
katika picha ya pamoja na menejimenti ya Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC)
jana wakati wa ziara yake TBC Jijini Dar es Salaam.
Watatu kulia ni Mkurugenzi Mkuu TBC Dkt. Ayoub Rioba. Picha
na:
Genofeva Matemu - WHUSM. Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...