Mgeni rasmi, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhadi Mussa Salum, akimkabidhi cheti cha kuhitimu kidato cha nne, Yakub Sheikh.
Mgeni rasmi, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhadi Mussa Salum, akimkabidhi cheti cha kuhitimu Diploma ya Ualimu Shule za Msingi,Mayasa Mussa.
Mgeni rasmi, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhadi Mussa Salum, akimkabidhi cheti cha kuhitimu Diploma ya Ualimu Shule za Msingi,Siza Mohamed.
Mgeni rasmi, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhadi Mussa Salum, akimkabidhi cheti cha kuhitimu Diploma ya Ualimu Shule za Msingi, Dogo Salum.
Mgeni rasmi, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhadi Mussa Salum, akimkabidhi cheti cha kuhitimu Diploma ya Ualimu Shule za Msingi, Khairat Bakar.
Mgeni rasmi, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhadi Mussa Salum, akimkabidhi cheti cha kuhitimu Diploma ya Ualimu Shule za Msingi, Firdaus Abubakar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...