Balozi wa Tanzania nchini Rwanda, Balozi Ali Idi Siwa (wa tatu kushoto), Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Dk. Jimmy Yonaz (wa pili kushoto) pamoja na vingozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja huku wakiwa wameshika magazeti ya HABARI LEO wakati wa uzinduzi rasmi mauzo ya magazeti ya TSN nchini Rwanda. Uzinduzi huo umefanyika sambamba na Kongamano la Kiswahili lililodhaminiwa na TSN. Kongamano hilo lilihudhuriwa na washiriki zaidi ya 200.
Balozi wa Tanzania nchini Rwanda, Balozi Ali Idi Siwa akizungumza katika hafla hiyo ya uzinduzi rasmi mauzo ya magazeti ya TSN nchini Rwanda. Uzinduzi huo umefanyika sambamba na Kongamano la Kiswahili lililodhaminiwa na TSN. Kongamano hilo lilihudhuriwa na washiriki zaidi ya 200.
Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Dk. Jimmy Yonaz akizungumza.
Baadhi ya washiriki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...