Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro wa pili kulia akiwa na maafisa wa Jeshi la Polisi wakati wa uzinduzi wa Zahanati ya Mkoa wa Katavi leo katika ziara yake ya kikazi ya siku moja mkoani humo.  Picha na Jeshi la Polisi.
 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (katikati) kulia kwake ni Meja Jenerali Mstafu Rafael Muhuga, wakiwa katika picha ya pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Katavi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro wanne kutoka kulia akiwa katika mazoezi ya utayari na Askari waliokuwa wakifanya maonyesho ya utayari Mkoa wa Katavi wakati wa ziara yake.  Picha na Jeshi la Polisi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...