Madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Moyo na Mishipa ya damu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimfanyia mgonjwa ambaye mshipa mkubwa unaosambaza damu upande wa kushoto wa moyo umeziba upasuaji wa kupandikiza mishipa ya damu kwenye moyo (CABG – Coronary Artery Bypass Grafting).
Madaktari Bingwa wa Usingizi na wagonjwa mahututi wa moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete
(JKCI) wakiangalia jinsi moyo wa mgonjwa unavyofanya kazi (mapigo ya moyo) kwa kutumia mashine maalum wakati mgonjwa huyo
akifanyiwa upasuaji wa kupandikiza mishipa ya damu kwenye moyo (CABG – Coronary
Artery Bypass Grafting).
Madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Moyo kwa watoto Godwin
Sharau wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na Benjamin Bierbach wa nchini
Ujerumani wakimfanyia upasuaji wa kuziba matundu ya moyo mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na mwezi mmoja.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...