Wavuvi wakiwasili katika ufukwe wa Kunduchi jijini Dar es salaam baada ya kutoka kuvua samaki, Baadhi ya wavuvi hao wamesema kuwa kipindi hiki ambacho ni cha upepo mkali kumekuwa na uhaba sana wa upatikaji wa samaki, hali inayowalazimu kwenda mbali zaidi kutafuta samaki na wakati mwingine hurudi bila mafanikio.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...