Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa MKoa wa Mwanza John Mongella mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza akitokea Nchini Uganda alipohudhuria mkutano wa 19 wa wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) MKoa wa Mwanza ndugu Anthony Dialo mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza akitokea Nchini Uganda alipohudhuria mkutano wa 19 wa wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa ndugu Kheri Jamesn mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza akitokea Nchini Uganda alipohudhuria mkutano wa 19 wa wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Naibu Waziri wa Ardhi ,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Angelina Mabula mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza akitokea Nchini Uganda alipohudhuria mkutano wa 19 wa wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akitazama ngoma mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza akitokea Nchini Uganda alipohudhuria mkutano wa 19 wa wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akizungumza na baadhi ya Viongozi na Wafanyakazi wa uwanja wa ndege wa MKoa wa Mwanza mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza akitokea Nchini Uganda alipohudhuria mkutano wa 19 wa wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Ardhi,nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula, Mkuu wa MKoa wa Mwanza John Mongella na wacheza ngoma waliofika kumlaki uwanjani hapo mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza akitokea Nchini Uganda alipohudhuria mkutano wa 19 wa wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. PICHA NA IKULU.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...