Wananchi wa Uyole nje kidogo ya mkoa wa Mbeya wakimpokea Mgombea Urais kwa tiketi ya chama cha Chadema Freeman Mbowe leo. Mgombea huyu anatumia helikopta hii ya kukodi toka afrika kusini ili kufikia wananchi walio mbali.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hii ni kali. Lakini hela zimetoka wapi hizo????

    ReplyDelete
  2. Ndio michuzi, hii helikoputa nimekuwa naisikia kwenye bomba sasa naina kwa macho yangu!

    ReplyDelete
  3. the helicopter is not only the appropriate means of travel considering the state of rural roads in bongo, but it is also a major people puller in rurla bongo as is evident from the photo.
    CCN kaeni chonjo, that guy has pulled a power move that will be felt come elections!

    ReplyDelete
  4. Si hiyo helikopta ni yangu..mimi Mwanasiasa Mkongwe wa Kenya kutoka Kisii!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 09, 2007

    mijitu mingine haina akili hivi anadhani atachaguliwa kwa upimp au uraisi.Atuondolee mambo ya kuiga ujinga,hasa kwa hela ipi ya maana aliyonayo.Midadi mingine huwa haifai.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...